Harmonize siku hizi havai mashati kwenye video zake

Harmonize siku hizi havai mashati kwenye video zake

Watoto wazuri huja tuuh automatically ukiwa smart kimaisha kazi itakua kuchagua tuuh

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Six packs zinachangia bro usijipe moyo.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Bro mbona una hasira sana hahaha waache vijana wawe proud na six packs zao, wanajua nini wanafaidika.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Ila kweli huwenda ndo usanii wenyewe wakisasa mimi pengine sifahamu

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Mambo ya bajeti, mashati bei mbaya sasa hivi.
 
" Mwambieni dada yenu hajanikomoaaaa"

" UNO'

Lile la kimombo na demu hatareee sijui NICOLE

Aaaaaaaah, huyu jamaa music anaujua.

Hata kumjadili ni sababu ya KUWANYOOOSHA wapenzi wa music wenye fundo kooni.

Juu haliendi chini halishuki.
 
Msanii wa CCM huyo

kush na Wisdom
Huwa anasherehesha shuhuli vizuri japo Mimi si mfuatiliaji wa huu muziki wa vijana hapa njini,mimi husikiliza nyimbo Kama za GATHO,koffi olomide,pepe kalle,wenge musical,papy tex,bozi boziana,madidu system,Jimmy clif,,bembeya jazz national,charanga za celina gonzalez na nyingine nyingi za rege na muziki wa kufoka wakina 2pack,big,snoop dog na wengine wengi kipindi cha 90's old school songs

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Cmpatii picha angekuwa na six pack kama za Jux or Alli kiba
Japo Sio vibaya ila tu ajitahidi kuondoa hicho kitambi cha miogo
japo naona n kama kimegoma kitambi cha mihogo n nomaaaaaaaa
 
Mwenyewe anasema n ubunifu
Wa video zake

stidy
 
[emoji2215][emoji2215][emoji2215]
255756987561_status_095c71bbcbc04123a21a10145a2956c7.jpg


sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom