Harmonize sura ya kijijini na mambo ya kijijini hayotokaa yamuishe

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kwa kifupi harmonize ana muonekano wa kishamba sana yani hata afanyeje hawezi kubadilika hata mambo anayoyafanya ni kishamba sana yani ni ya ajabu mpaka anajiaibisha kila kukicha.

Hata akipiga picha huwa hapendezi ana vimapozi flani hivi vya kindezi ndezi 🤣🤣🤣🤣🤣

Mpangilio wa mambo yake pia ni wa hovyo hovyo kama yeye mwenyewe alivyo wa hovyo mpaka maskini ya Mungu inasingiziwa bangi kwamba inampeleka puta😆😆😆😆

Watu wengi tulimdharau sana pale aliposema hawezi kufanya ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa ramadhani kisa eti kajala ptuuuu yani hapo nakwambia ndipo tulipo mdharau ,yani eti mtu anaacha kumtii mwenyezi Mungu kwa kisingizio cha mwanamke hii kweli ni akili au matope, na hii yote inatokana kwamba jamaa ni mkurupukaji na ushamba wake ndio maana kila kukicha hang'ai licha kupata vijisenti vya kubadilisha mboga.
 
Hata akipiga picha huwa hapendezi ana vimapozi flani hivi vya kindezi ndezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mpangilio wa mambo yake pia ni wa hovyo hovyo kama yeye mwenyewe alivyo wa hovyo mpaka maskini ya Mungu inasingiziwa bangi kwamba inampeleka puta[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Watu wengi tulimdharau sana pale aliposema hawezi kufanya ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa ramadhani kisa eti kajala ptuuuu yani hapo nakwambia ndipo tulipo mdharau ,yani eti mtu anaacha kumtii mwenyezi Mungu kwa kisingizio cha mwanamke hii kweli ni akili au matope, na hii yote inatokana kwamba jamaa ni mkurupukaji na ushamba wake ndio maana kila kukicha hang'ai licha kupata vijisenti vya kubadilisha mboga.
Alipochafua washroom za nyumba aliyokuwa kapanga na kuacha makimba yamezagaa,nilimuona mtu pori ajabu.
 
Write your reply...wewe usiye mshamba una nn?....huo ushamba ndio unamlisha basi kwa taarifa konde gang for everibadiiiiiii...
 
Tunaupenda ule ushamba wake, Konde Boy usibadilike huu ushamba ndiyo unakufanya uwe unique.
Unique!!!
Kwakukopi kila kitu kwa simba. Hapo utakuta anaungua moyoni kisa sifa alizopata Mondi kule bungeni. Lau kungekuwa na siku za kuweza kuandaa futari kama ile kwa hakika huyu jamaa hata kwakukopa angefanya

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
dogo alianza kula kuku - then akala na kifaranga chake- kwa sasa analazimisha kula kuku tena, duuuuu kwa kweli kwa huli nime mdharau…...
 
Kwa kifupi harmonize ana muonekano wa kishamba sana yani hata afanyeje hawezi kubadilika hata mambo anayoyafanya ni kishamba sana yani ni ya ajabu mpaka anajiaibisha kila kukicha.

Hata akipiga picha huwa hapendezi ana vimapozi flani hivi vya kindezi ndezi 🤣🤣🤣🤣🤣

Mpangilio wa mambo yake pia ni wa hovyo hovyo kama yeye mwenyewe alivyo wa hovyo mpaka maskini ya Mungu inasingiziwa bangi kwamba inampeleka puta😆😆😆😆

Watu wengi tulimdharau sana pale aliposema hawezi kufanya ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa ramadhani kisa eti kajala ptuuuu yani hapo nakwambia ndipo tulipo mdharau ,yani eti mtu anaacha kumtii mwenyezi Mungu kwa kisingizio cha mwanamke hii kweli ni akili au matope, na hii yote inatokana kwamba jamaa ni mkurupukaji na ushamba wake ndio maana kila kukicha hang'ai licha kupata vijisenti vya kubadilisha mboga.

Na account yake ikoje ukilinganisha na yako?

Wakati mwingine tuache wivu
 
Back
Top Bottom