Mfitinishaji
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 571
- 600
ubarikiwe piaWord! Huu ndio uungwana.
Nani kamcopy eminem au buster ryhmes? Kumbuka sanaa yake ndo ID yake, bora kufanya sampling kuliko direct copying kuanzia uvaaji, style mbalimbali za dance, vocal et al.Kwani kila msanii mkubwa ana staili yake peke?
Huko mbali sana. Wasanii wa Afrika Kusini wa miaka ile walifanana pakubwa, bendi hali kadhalika...Nani kamcopy eminem au buster ryhmes? Kumbuka sanaa yake ndo ID yake, bora kufanya sampling kuliko direct copying kuanzia uvaaji, style mbalimbali za dance, vocal et al.
Ntombi Mharumbini, ivone chaka chaka na brenda fasie? Naomba uwatazame vizur then unipe conclusion vizur...Huko mbali sana. Wasanii wa Afrika Kusini wa miaka ile walifanana pakubwa, bendi hali kadhalika...
Sio hao tu, kulikuwa na wasanii na makundi mengi na muziki wao ulifanana. Acha kubisha...Ntombi Mharumbini, ivone chaka chaka na brenda fasie? Naomba uwatazame vizur then unipe conclusion vizur...
sibishan mkuu, ladha ya muziki wa South Africa si inajulikana vile vile kwa Nigeria hata India...ninachopingana na wewe ni kuwa ukimsikiliza Senzo kuwa utapata ladha ile ile ya Lucky Dube!Sio hao tu, kulikuwa na wasanii na makundi mengi na muziki wao ulifanana. Acha kubisha...
4G LTE exactly nakuunga mkono [emoji115] [emoji115] [emoji115]Nani kamcopy eminem au buster ryhmes? Kumbuka sanaa yake ndo ID yake, bora kufanya sampling kuliko direct copying kuanzia uvaaji, style mbalimbali za dance, vocal et al.
Hata kama anacopy tayari kwa sasa ameshatoka na ni bora kuliko alipotoka.....acheni wivu dogo ana kipaji
kama kufanya kitu kizuri kinacho fanana na mwenzio kwa kila kitu unaakiita BORA,basi kufanya kitu kizuri na kipya kisichofanana na mwenzio tukiite BORA ZAIDI.
tunapenda harmonize afanye kitu cha kipekee kitakacho mtambulisha kama yeye sio kama diamond,hii itakua BORA ZAIDI.[/QUOTE
Bila Diamond hadi sasa hivi asingekuwa lolote...mzee pingine nyimbo zake singekuwa zinapigwa kapuni tu so me naona ni opportunity nzuri kwake kupitia mgongo wa mwingine so long as anapata mafanikio anayoyataka.
Mkuu Una busara Sana, [emoji122] [emoji122] [emoji122]kama kufanya kitu kizuri kinacho fanana na mwenzio kwa kila kitu unaakiita BORA,basi kufanya kitu kizuri na kipya kisichofanana na mwenzio tukiite BORA ZAIDI.
tunapenda harmonize afanye kitu cha kipekee kitakacho mtambulisha kama yeye sio kama diamond,hii itakua BORA ZAIDI.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisaUpo sawa asilimia zote ila kwa akili zake za kibongo bongo, zisizo na future mafanikio ya kukandamizia tayari anayo, mtoto mzuri Wolper, gari nzuri na kuwa
Karibu na bwana magwangala, hayo kwake ni mafanikio. Ulivyo andika anaweza kusoma ila asielewe mpaka sauti inamkauka.