Harmonize utafanikiwa ila chini ya unachostahili

Nilikua naangalia wimbo wake mmoja juzi, mpaka nilipokuja kuona jina mwishoni ndio nikajua yule sio Domo. ila kila kitu ni Almasi kabisa.
 
Kwani kila msanii mkubwa ana staili yake peke?
 
yaan huu mwimbo wa inde umemrudisha dully af umempoteza harmonize ki ukwel maana ni kama duly na diamond bora angebak na ule matatzo kwa muda before kukubal kuachia huu kwanza
 
Kwani kila msanii mkubwa ana staili yake peke?
Nani kamcopy eminem au buster ryhmes? Kumbuka sanaa yake ndo ID yake, bora kufanya sampling kuliko direct copying kuanzia uvaaji, style mbalimbali za dance, vocal et al.
 
Huko mbali sana. Wasanii wa Afrika Kusini wa miaka ile walifanana pakubwa, bendi hali kadhalika...
 
Ntombi Mharumbini, ivone chaka chaka na brenda fasie? Naomba uwatazame vizur then unipe conclusion vizur...
 
Sio hao tu, kulikuwa na wasanii na makundi mengi na muziki wao ulifanana. Acha kubisha...
 
kama kufanya kitu kizuri kinacho fanana na mwenzio kwa kila kitu unaakiita BORA,basi kufanya kitu kizuri na kipya kisichofanana na mwenzio tukiite BORA ZAIDI.

tunapenda harmonize afanye kitu cha kipekee kitakacho mtambulisha kama yeye sio kama diamond,hii itakua BORA ZAIDI.
Hata kama anacopy tayari kwa sasa ameshatoka na ni bora kuliko alipotoka.....acheni wivu dogo ana kipaji
 
kama kufanya kitu kizuri kinacho fanana na mwenzio kwa kila kitu unaakiita BORA,basi kufanya kitu kizuri na kipya kisichofanana na mwenzio tukiite BORA ZAIDI.

tunapenda harmonize afanye kitu cha kipekee kitakacho mtambulisha kama yeye sio kama diamond,hii itakua BORA ZAIDI.[/QUOTE
Bila Diamond hadi sasa hivi asingekuwa lolote...mzee pingine nyimbo zake singekuwa zinapigwa kapuni tu so me naona ni opportunity nzuri kwake kupitia mgongo wa mwingine so long as anapata mafanikio anayoyataka.
 
Upo sawa asilimia zote ila kwa akili zake za kibongo bongo, zisizo na future mafanikio ya kukandamizia tayari anayo, mtoto mzuri Wolper, gari nzuri na kuwa
Karibu na bwana magwangala, hayo kwake ni mafanikio. Ulivyo andika anaweza kusoma ila asielewe mpaka sauti inamkauka.
 
kama kufanya kitu kizuri kinacho fanana na mwenzio kwa kila kitu unaakiita BORA,basi kufanya kitu kizuri na kipya kisichofanana na mwenzio tukiite BORA ZAIDI.

tunapenda harmonize afanye kitu cha kipekee kitakacho mtambulisha kama yeye sio kama diamond,hii itakua BORA ZAIDI.
Mkuu Una busara Sana, [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Upo sawa asilimia zote ila kwa akili zake za kibongo bongo, zisizo na future mafanikio ya kukandamizia tayari anayo, mtoto mzuri Wolper, gari nzuri na kuwa
Karibu na bwana magwangala, hayo kwake ni mafanikio. Ulivyo andika anaweza kusoma ila asielewe mpaka sauti inamkauka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisa
 
News TZ,tunao unga mkono hoja tajwa hapo juu sio kwamba hatupendi mafanikio alio yapata harmonize tangu awe na Diamond ila...ivi mkuu umeusikia/tazama ule wimbo "INDE" aloshilikishwa na dully,alafu unapenda dogo aendelee kumwiga diamond,kweli huu ni ungwana kumshauri mwezio aelekee shimoni

P-square walitoka katika game kwa staili yao,unafikili wizikid angetaka kuwaiga angeshindwa!
Leo utalinganisha psquare na wizikid kimataifa?

labda ujui tofauti ya "mziki wa aina moja na mziki mmoja"
 
Back
Top Bottom