Harmonize Vs Diamond

Harmonize Vs Diamond

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Naogopa na ninaona kabisa tukichukua 3 latest release za diamond na harmonize, harmonize amemfunika diamond katika uandishi na mashairi.

Tukichukulia mfano wimbo wa diamond na papa wemba, na wimbo wa harmonize matatizo. Unaona kabisa dai kafunikwa.

namshauri harmonize atoke WCB akajitegemee mana ni mkali kuzidi diamond.
Ila ni kawaida mwanafunzi huwa anakuwa mzuri kuliko mwalimu
 
mkuu we hauoni njia anazopita harmonizer ni copy kwa bos wake kwanzia sauti ata baadhi ya maneno yanajirudia "tafarani"kwa unyonge
 
mkuu sijui hizi pumba ulizifikiriaje, daaah ww sikiliza nyimbo usifikirie kulinganisha watu, haitakusaidia
Hawa ni wale wasiokuwa na kazi za kufanya wanaoshinda mitandaoni kuanzisha mateam ya majungu. Huwa wanaanza hivi hivi kutengeneza choko choko, kesho na keshokutwa unasikia team harmonize na timu diamond. Kuna haja haya mavifurushi ya chuo kufungiwa maana ndio yanayoleta adha yote hii.
 
Back
Top Bottom