Harmonize wa WCB anaonekana tofauti sana na wana WCB wenzake

Harmonize wa WCB anaonekana tofauti sana na wana WCB wenzake

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
Huyu kijana wa kimakonde nimemfatilia tangu mwanzo kiukweli niwakipekee hana majivuno, sio mtu wa media sana au kupenda kuuza sura ni mtaratibu sana nidhamu yake iko juu mno kiukweli wasanii wote wangekuwa hivyo wasanii wangeonekana watu wa maana sana katika jamii tofauti na sasa inaonekana kama wahuni tu watu wasiokuwa na maadili.

Mungu mbariki Harmonize ibariki sana ya Tanzania na taifa letu kwa ujumla.
 
Maneno ya kwenye kahawa jaribu basi utuletee mrejesho si shamba la bibi

Maneno yako tu yanaonyesha ugeni wako kuna watu unaona wajanja hapa mjini ila wanaishi kwa kuwadalalia hawa ambao wanajifanya 5 star B*****s hapa mjini usiogope kabisa.
 
Wolper au?[emoji23][emoji23][emoji23] shamba la bibi lile kila mjukuu anaruhusiwa kuvuna siku ukija mjini uliza mpwa upelekwe maskani madalali wakupe bei zao.
Ukweli kabisa.. na sio huyo tu ...
 
Back
Top Bottom