Harmonize wa WCB anaonekana tofauti sana na wana WCB wenzake

Harmonize wa WCB anaonekana tofauti sana na wana WCB wenzake

Huyu kijana wa kimakonde nimemfatilia tangu mwanzo kiukweli niwakipekee hana majivuno, sio mtu wa media sana au kupenda kuuza sura ni mtaratibu sana nidhamu yake iko juu mno kiukweli wasanii wote wangekuwa hivyo wasanii wangeonekana watu wa maana sana katika jamii tofauti na sasa inaonekana kama wahuni tu watu wasiokuwa na maadili.

Mungu mbariki Harmonize ibariki sana ya Tanzania na taifa letu kwa ujumla.
Amekupa bei gan...
 
Wewe ni bado sana,jiongeze kidogo basi......unaongelea class ipi ya wamakonde???walinzi???......house boy??? hahahahahaaaa.....tunawagongea sana nyie...
Matokeo ya kidato cha pili mchujo shule zote top ten za mwisho zimetoka umakondeni unataka kuniambia kuna wasomi! haya bhana
 
sikuwahi kujua km na wewe una tabia za kichoko,unatumia ID ya kibabe halafu umeweka avatar ya kish.oga.....makumazani!
Hizi ndiyo akili za Kimakonde, Mkiwa top ten ya shule za mwisho kitaifa kumbe ni haki yenu
 
Wolper au?[emoji23][emoji23][emoji23] shamba la bibi lile kila mjukuu anaruhusiwa kuvuna siku ukija mjini uliza mpwa upelekwe maskani madalali wakupe bei zao.
Umempa jibu mujarrabu kabisa,hao mademu wabongo muvi wengi wauza k,na wajanja wanajua,nashangaa wagonga ulimbo mnavyowahusudu na kuwapapatikia.
 
Nenda mlimani city mida ya jioni utawakuta hao madalali wamesimama pale kwenye mlango wa kuingilia jirani na marrybrown, utawaona wavulana kila siku wako pale, waulize demu yoyote watakuletea.
Ha ha ha ha, hata demu wangu?
 
Mungu mbariki Harmonize ibariki sana ya Tanzania na taifa letu kwa ujumla.

Hapo sijaelewa unamaana gani kusema "sana ya tanzania", na "Tanzania na Taifa letu kwa ujumla"

Unamaana Tanzania ndo kwao harmonize na wewe kwenu bila shaka ni nchini Afrika sio?
 
Back
Top Bottom