Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Amekupa bei gan...Huyu kijana wa kimakonde nimemfatilia tangu mwanzo kiukweli niwakipekee hana majivuno, sio mtu wa media sana au kupenda kuuza sura ni mtaratibu sana nidhamu yake iko juu mno kiukweli wasanii wote wangekuwa hivyo wasanii wangeonekana watu wa maana sana katika jamii tofauti na sasa inaonekana kama wahuni tu watu wasiokuwa na maadili.
Mungu mbariki Harmonize ibariki sana ya Tanzania na taifa letu kwa ujumla.