Harmonize wa WCB anaonekana tofauti sana na wana WCB wenzake

Nenda mlimani city mida ya jioni utawakuta hao madalali wamesimama pale kwenye mlango wa kuingilia jirani na marrybrown, utawaona wavulana kila siku wako pale, waulize demu yoyote watakuletea.
 
hiv unajua stress za kumwagwa na kibib lakin wewe?
 
Lakini anamkaza demu ambae hata wewe ufanye nini huwezi mpata
Hata akifabya alichofanya harmonize akamoata?..aaaaaaaah acha zako mjini hapa wadada mazuri ni bure mchawi mkwanja na jina we harmo na wolper wapi na wapi Mbna dogo anakula mzigo
 
Hawaijui JF ila hao ndio wanawakazia wake zenu,dada zenu na mademu zenu vizuuuuuri.........
Hamna Mmakonde mwenye jeuri ya kumtongoza demu angu!

Hawa jamaa wanapenda beach balaa inapenda kuogelea! Mmakonde anaweza kufanya kazi kwako na usimlipe ukampeleka kuogelea beach na akasahau kama kafanya kazi kwako
 
Wewe ni bado sana,jiongeze kidogo basi......unaongelea class ipi ya wamakonde???walinzi???......house boy??? hahahahahaaaa.....tunawagongea sana nyie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…