Harmonize, WCB Wasafi mnazingua mnawazingua mashabiki zenu wa WCB na wale wa Harmonize

nimesikiliza nyimbo mbili za harmonizer happy birthday na acha nilewe nashauri itolewe acha nilewe iyo happy birthday iyo bonus tu
Hiyo ngoma amna kitu.

Idea ni ile ile ya Nataka Kulewa ya Diamond.Huyu Dogo aache kupita njia za Diamond kishakuwa msanii mkubwa sasa.
 
nimesikiliza nyimbo mbili za harmonizer happy birthday na acha nilewe nashauri itolewe acha nilewe iyo happy birthday iyo bonus tu
mkuu hiyo happy birthday umeipata wapi naitafuta kweli! kama unaweza tusaidie hapa
 
Trust me hiyo ndio sababu hata Marry you imetoka kipindi cha kutangaza majina ya wauza unga ikapotelea hewan
Marry You imeathirika kwa kiasi fulani lakini sio sana kwa sababu ni Diamond! Lakini ingekuwa ndo hawa wengine, nadhani hadi sasa hata views 2M ingekuwa haijafikisha!!!

Ben Pol alitoa Phone almost wakati mmoja na Marry You lakini hadi sasa ndo kwanza anaitafuta 1M !!!

Ukiangalia Youtube Trending imejaa sana habari related na Ubashite!!!
 
Bashite kasepa na kijiji
 
Hiyo ngoma amna kitu.

Idea ni ile ile ya Nataka Kulewa ya Diamond.Huyu Dogo aache kupita njia za Diamond kishakuwa msanii mkubwa sasa.
mkui wewe hujawahi zungumza mazuri ya wcb hata moja humu!
ko ni kawaida yako
 
Harmo rapa kashachukua nafasi kafuta vumbi kakaa kwenye kiti
Harmo rapa Kiboko ya mabishoo
 
mkui wewe hujawahi zungumza mazuri ya wcb hata moja humu!
ko ni kawaida yako
Nikizingumzia mazuri wakati hakuna mazuri yenyewe huoni kuwa ntakuwa mnafiki mkuu
 
Nikizingumzia mazuri wakati hakuna mazuri yenyewe huoni kuwa ntakuwa mnafiki mkuu
ha haaa haaaa unafiki ni huo kuwa na mahaba mazito na team kiba kiasi kwamba unaona huwa hakosei
 
Harmorapa ameshatoa video rasmi ya nyimbo ya "Kiboko ya Mabishoo"?
 
Trust me hiyo ndio sababu hata Marry you imetoka kipindi cha kutangaza majina ya wauza unga ikapotelea hewan
Unatumia akili kweli unaposema marry you imeishia hwewani. Ile nyimbo sio ya watanzania ni ya watu wamataifa kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…