mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Hiyo ngoma amna kitu.nimesikiliza nyimbo mbili za harmonizer happy birthday na acha nilewe nashauri itolewe acha nilewe iyo happy birthday iyo bonus tu
Idea ni ile ile ya Nataka Kulewa ya Diamond.Huyu Dogo aache kupita njia za Diamond kishakuwa msanii mkubwa sasa.