Harmonize angefanya wimbo na bend. Wimbo wa kistaarabu. Wimbo wenye maneno mchache. Watu zaid ya50 wenye Uzi mpya wa Yanga wangependezesha jukwaa huku wimbo wa taifa wa club ukiibwa..
Ingekuwa bonge ya event.
Nilitaman nimshaur khs hili mapema Harmonize sema sikuw na access hiyo
Hiz timu za ilala ni za waswahili na hizo nyimbo ndo nyimbo zao haswaa ww utoke huko kwenu Mbeya, Lindi, Bukoba cjui Musoma unakuja kuwapangia waswahili kwani huko mnakotokea hakuna timu??
Utakuwa hujaupenda wimbo Tu. Ila kaimba kitu ambacho kinaendana na mashabiki Kwa wakati husika ...sidhani kama Rap, RnB, Bleus, Bolingo au Taarabu zingefiti hapa. Labda prakatumba. But, kafanya Jambo ambalo mashabiki wamemuelewa.