Harmonize x Jah Prezah-Ndoenda..

Harmonize x Jah Prezah-Ndoenda..

Source07

Senior Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
196
Reaction score
353
Harmonize ameachia hit song amefanya vizuri kwambali inaonekana ile chemistry yakuapamoja na international Artist hapa nikimaanisha Jah Prezah..Huyu jamaa alifanya Collabo na Mondi-Watora Mari..
Harmo amefanya vizuri ila ukiisiliza hii nyimbo utagundua vinanda vilivyotumika vimekua pasted kutoka Davido-Aye' na pia Video inaendana na Aye video.. So kwa mwenendo huu wakucopy melody kutoka Nigeria ndio tuseme mziki wetu ndio unakua au producers wetu sio wabunifu..au nikutokana na msanii husika hua anamwambia amtaarishie beat kama ya msanii Fulani?...
Nwey naamini huenda ikafika siku nawao wataiga pia kutoka kwetu!
 
Back
Top Bottom