Harmorapa aachia Aje Remix

Mbona wengi mnachangia sasa, jamaa ana kitu tofauti sana, mfano mimi hapa nacheka mpaka mbavu zinataka kupasuka
 
acheni majungu kila mtu ameumbwa na M/Mungu na kabla hujafa hujaumbika, kwani kuna mtu anaweza kuumba eti huyu jamaa anatia kinyaaa ww wakati unazaliwa ulifikiri utakuwa handsome acheni kashfa, kama hajui kuimba kwako kwa wenzako wanaona anajua kuimba, mbona ww hata kipaji cha kuimba hata kwaya huna acheni ulofaaa, ukikasirika imekufika pimbi ww
 
Mkumbuke kila mtu anataka kuishi, tena vizuri, kwani kuna mtu amiyejua kuwa Nasib Abdul atafika hatua aliyopo hivi sasa. na wekeni sawa kumbukumbu zenu na kwasi kasi ya mitandao naamini si muda mrefu mtashangaaa umaarufu wake utakavyokua
 
Huyu jamaa kama mchoma mkaa flani hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hapa ndio kaimba nini? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…