Harmorapa aachia Aje Remix

Harmorapa aachia Aje Remix

acheni majungu kila mtu ameumbwa na M/Mungu na kabla hujafa hujaumbika, kwani kuna mtu anaweza kuumba eti huyu jamaa anatia kinyaaa ww wakati unazaliwa ulifikiri utakuwa handsome acheni kashfa, kama hajui kuimba kwako kwa wenzako wanaona anajua kuimba, mbona ww hata kipaji cha kuimba hata kwaya huna acheni ulofaaa, ukikasirika imekufika pimbi ww
Mbona umepanic sana wewe ndo harmonyani?
 
Ali Kiba amwombe huyu dogo awe anamwandikia mistari... Unaona alivyo mkimbiza jamaa.
 
Huyu jamaa analeta sana utani... Siku akipanda jukwaani kuleta utani wake.. Unamtandika kofu la nguvu hadi anapatwa na kithembe...
 
Huyo ndo aliyeambiwa na mwenzake kwamba ni nyani au ni mwingine?
 
Hivi nani yupo nyuma ya hizi promo za huyu jamaa?Na ni kwa malengo gani?Any way ngoja tusubirie muziki wake.
Hkmkuu hats mm nashangaa mchz anaepewa promo humu if mpaka kinyaa huyu na mtu mwngne anaitwa eyobo mm sowajui kwa kwel ila homomrapa hajui nilowah kuona vdep zake
 
Back
Top Bottom