Duh, nimeichukua hiyo.Zimepungua kidogo ku mkichwa...
Si unajua february haifiki siku 30!.
Mbona umepanic sana wewe ndo harmonyani?acheni majungu kila mtu ameumbwa na M/Mungu na kabla hujafa hujaumbika, kwani kuna mtu anaweza kuumba eti huyu jamaa anatia kinyaaa ww wakati unazaliwa ulifikiri utakuwa handsome acheni kashfa, kama hajui kuimba kwako kwa wenzako wanaona anajua kuimba, mbona ww hata kipaji cha kuimba hata kwaya huna acheni ulofaaa, ukikasirika imekufika pimbi ww
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji13] [emoji125] [emoji125]Yaani hii ngoma kaipatia kuliko Kiba
Hkmkuu hats mm nashangaa mchz anaepewa promo humu if mpaka kinyaa huyu na mtu mwngne anaitwa eyobo mm sowajui kwa kwel ila homomrapa hajui nilowah kuona vdep zakeHivi nani yupo nyuma ya hizi promo za huyu jamaa?Na ni kwa malengo gani?Any way ngoja tusubirie muziki wake.