Yaaani huyu dogo sio mchezo kwakweli, ngoja tusubiri mwenendo wake utaishia wapiThis is harmofara
Kwahiyo siku hizi kujipost mara unanyweshwa juis, mara kwenda central kutizama kama jina lako lipo mara kudai eti hujaiba dem wa mtu na kushinda kwenye mitandao ya kijamii ndio kuja kwa kasi? Kifupi sijui wimbo ata mmoja wa huyu dogo zaid ya kick za hapa na paleMsanii chipukizi anayekuja kwa kasi maarufu kama harmorapa leo amemtembelea P funk offisini kwake bongo records kwa mwaliko maalum kujadili mambo ya musiki.
Akihojiwa katika kipindi cha amplifaya clouds fm bwana p funk amemwagia sifa nyingi harmorapa kuwa ni mwandishi mzuri na atakuja kuwa tishio hapo baadae
Kwa picha zaidi kama mnavyoona hapo chini
Kupitia ukurasa wake wa instagram p funk kamposti harmorapa.
Katika tukio jingine kijana harmorapa ameonekana akiwa na burungutu la pesa ambazo bila shaka ameIpatia kwenye kazi yake nzuri ya muziki..
Umeona lkn hicho Kiingereza!Mkuu upo kwa p-funk kumbe??
Ume-panic brother.This is harmofara
Me no panic jah man,I'm coolUme-panic brother.
Hiyo pesa hajapata kwenye kazi ya muziki mkuu. Ni kwamba alikuwa ana hojiwa juzi ijumaa na kipimdi cha shilawadu kina chorushwa na clouds tv kila siku ya ijuma. Akaulizwa huo mtonyo uliopiga nao picha ni mafanikio ya kazi yako ama vipiMsanii chipukizi anayekuja kwa kasi maarufu kama harmorapa leo amemtembelea P funk offisini kwake bongo records kwa mwaliko maalum kujadili mambo ya musiki.