Harmorapa akutana na P - Funk na kuongea mengi kuhusu music

Harmorapa akutana na P - Funk na kuongea mengi kuhusu music

Hv hapo mkubwa nani?
P funk mkubwa ,hamorapa anaonekana mzee kwa sababu ya ugumu wa maisha .
Ndio maana kaja mjini kujaribu kuimba kachoka kulima korosho ambao zinamzeesha wala hanufaiki nazo wanaonufaika nazo hata shamba hawalifahamu.
 
Kama kaja mjini kufanya mziki mbona cjausikia. Ni ujinha tu kila cku
 
16230055_241884932935873_5377421370965622784_n.jpg
Naona anaonyesha urimbo wa kina dada watachomoka kweli kwa mwendo huu?
 
2d5c2d06bcb5d375fbb0712ef574ed5c.jpg

Harmorapa akutana na JUMA nature aka KIROBOTO
 
Ujue Magu anakuona bro usije ukamchochea kamba izidi kukazwa,mana ataona bado pesa zinachezewa ngoja nikaze mikazo haswaaa
 
Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi maarufu kama harmorapa leo amemtembelea P funk offisini kwake bongo records kwa mwaliko maalum kujadili mambo ya musiki.

Akihojiwa katika kipindi cha amplifaya clouds fm bwana p funk amemwagia sifa nyingi harmorapa kuwa ni mwandishi mzuri na atakuja kuwa tishio hapo baadae

Kwa picha zaidi kama mnavyoona hapo chini

0efe777731d4bf4909f1075bcbec929b.jpg

Kupitia ukurasa wake wa instagram p funk kamposti harmorapa.

Ushamba mzigo ulimbukeni fasheni
50ee9bdd2b73a64dcc2d18424ad7196c.jpg

Katika tukio jingine kijana harmorapa ameonekana akiwa na burungutu la pesa ambazo bila shaka ameIpatia kwenye kazi yake nzuri ya muziki..
 
Back
Top Bottom