Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi maarufu kama harmorapa leo amemtembelea P funk offisini kwake bongo records kwa mwaliko maalum kujadili mambo ya musiki.
Akihojiwa katika kipindi cha amplifaya clouds fm bwana p funk amemwagia sifa nyingi harmorapa kuwa ni mwandishi mzuri na atakuja kuwa tishio hapo baadae
Kwa picha zaidi kama mnavyoona hapo chini
Kupitia ukurasa wake wa instagram p funk kamposti harmorapa.
Ushamba mzigo ulimbukeni fasheni
Katika tukio jingine kijana harmorapa ameonekana akiwa na burungutu la pesa ambazo bila shaka ameIpatia kwenye kazi yake nzuri ya muziki..