Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
we mwenyew kiswahili tu kuandika vizuri shida, hauzingatii hata kanuni za uandishiBidada alikuwa akimhoji jamaa anachomekea na manenoya kiingereza amabayomyalikuwa yakimpawakati mgumu kijana
Hivi ni HAUZINGATII au Huzingatii? Shkamooni wakuuwe mwenyew kiswahili tu kuandika vizuri shida, hauzingatii hata kanuni za uandishi
Napendekeza Hamorapa ateuliwa na bwana kipara kuziba pengo la meck sadick mkuu WA mkoa WA Kilimanjaro,Wanaokujaga kujua lugha sana ni watu kama harmorapa, anajijua kabisa kuwa hajui na havungi kuwa anajua ila ana hamu ya kukijua!
Ndio ni yangu
kweliDogo Maarufu kuliko member wote wa JF
Acha nongwa!Hafiki kokote.
upo sahihi sawa nakumpigia mbuzi gitaaHuyo Diva ndiyo ameumbuka. Kwa nini uongee lugha ambayo unajua mwenzio haielewi? Diva ndio limbukeni.
HalafuAcha nongwa!
Ni Dada. AsanteSiku njema Dada/Kaka yangu.
Hata kwa Diamond walisema hivi lakini sasa hivi anatelezaHafiki kokote.
Atleast kwa diamond alikua anaelewa ata lugha ikoje sema kuongea ndio utata. Sasa huyu jamaa ata anachoambiwa hajui ni kitu gani halafu mnataka afike huko. GuysHata kwa Diamond walisema hivi lakini sasa hivi anateleza