Harmorapa alivyoumbuliwa na Diva kwenye ala za roho

Harmorapa alivyoumbuliwa na Diva kwenye ala za roho

Bidada alikuwa akimhoji jamaa anachomekea na manenoya kiingereza amabayomyalikuwa yakimpawakati mgumu kijana

we mwenyew kiswahili tu kuandika vizuri shida, hauzingatii hata kanuni za uandishi
 
Dah alinifurahisha anaulizwa kingine anajibu kingine.
 
Wanaokujaga kujua lugha sana ni watu kama harmorapa, anajijua kabisa kuwa hajui na havungi kuwa anajua ila ana hamu ya kukijua!
Napendekeza Hamorapa ateuliwa na bwana kipara kuziba pengo la meck sadick mkuu WA mkoa WA Kilimanjaro,

Au wabadilishane bashite aendee Kilimanjaro Hamorapa abakie hapa Dar!
 
vizur sana watu ambao hawaogopi,coz wanasema trying difficulties..is th best thing.
 
Daaaaah Diva Mungu anakuona ujue! Nini kumwaibisha mtoto WA watu hivyo???
 
Mzee wa kiki amekuja na jipya, anadai Amber Lulu alikuwa demu wake na keshajipigia sana, ila ishu ya Wema amedai eti ilikuwa ni kutafuta attention ya fans wake kabla ya kuachia ngoma yake mpya inayokiki kwa sasa iitwayo Nundu. Pia amesema yeye hapendi kiki ila kiki ndiyo zinamfuata na kutolea mfano ishu ya Nape kwamba tukio ndiyo lilimfuata.
 
Pia mweleze kuna jamaa kwenye mtandao anadai ni mdogo wake na wanafanana hasa
 
Hata kwa Diamond walisema hivi lakini sasa hivi anateleza
Atleast kwa diamond alikua anaelewa ata lugha ikoje sema kuongea ndio utata. Sasa huyu jamaa ata anachoambiwa hajui ni kitu gani halafu mnataka afike huko. Guys
 
Back
Top Bottom