Harmorapa alivyoumbuliwa na Diva kwenye ala za roho

Atleast kwa diamond alikua anaelewa ata lugha ikoje sema kuongea ndio utata. Sasa huyu jamaa ata anachoambiwa hajui ni kitu gani halafu mnataka afike huko. Guys
Alafu wew mbona unamchukia huyu mshikaji. Mi nahisi kuna kitu.
 
Haiwezekami kusema eti hawezi kuimprove wakati kuna vitu alikuwa anavielewa wakayi wa mahojiano
Kwani ni lzm mitazamo ifanane?
Mm mtazamo wangu ni huo na wewe unao wako. Nchi huru hii
 
Napendekeza Hamorapa ateuliwa na bwana kipara kuziba pengo la meck sadick mkuu WA mkoa WA Kilimanjaro,

Au wabadilishane bashite aendee Kilimanjaro Hamorapa abakie hapa Dar!
Akili zako inapendeza kuwa umezibeba mwenyewe!
 
Nlwah shauri huyu dogo anahtaj guidance flna. Bado ana ushamba na ulimbuken mwingi sn. Uelewa wake wa mambo n mfinyu sn nmemskia mara nyng akohojuwa bora gata mtoto wa miaka kumi anajitambua kuliko huyu. Ana kera hata kumsklza hajui anaulizwa nn na ajbu nn analopoka tuuuu.
 
Hana aibu na anapenda kujua kiingereza, na watu kama hawa huwa wanafika MBALI sana kwenye vitu ambavyo wanatamani kuvifikia. Atakuja kujua Kiingereza, mi nampongeza kwa KUJARIBU bila AIBU.
Huyu jamaa atawaumbua wengi wanaomdhihaki kwa sasa, naona anamaanisha haswa.
 
Huyo diva Anasauti tamu ya kimahaba like demu wangu wa kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…