Alafu wew mbona unamchukia huyu mshikaji. Mi nahisi kuna kitu.Atleast kwa diamond alikua anaelewa ata lugha ikoje sema kuongea ndio utata. Sasa huyu jamaa ata anachoambiwa hajui ni kitu gani halafu mnataka afike huko. Guys
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu wew mbona unamchukia huyu mshikaji. Mi nahisi kuna kitu.Atleast kwa diamond alikua anaelewa ata lugha ikoje sema kuongea ndio utata. Sasa huyu jamaa ata anachoambiwa hajui ni kitu gani halafu mnataka afike huko. Guys
Chuki ni nini?Alafu wew mbona unamchukia huyu mshikaji. Mi nahisi kuna kitu.
Haiwezekami kusema eti hawezi kuimprove wakati kuna vitu alikuwa anavielewa wakayi wa mahojianoChuki ni nini?
Hlf ni kitu gani hiko we jamaa
Kwani ni lzm mitazamo ifanane?Haiwezekami kusema eti hawezi kuimprove wakati kuna vitu alikuwa anavielewa wakayi wa mahojiano
Akili zako inapendeza kuwa umezibeba mwenyewe!Napendekeza Hamorapa ateuliwa na bwana kipara kuziba pengo la meck sadick mkuu WA mkoa WA Kilimanjaro,
Au wabadilishane bashite aendee Kilimanjaro Hamorapa abakie hapa Dar!
Jmn beby chagga wanamuenjoy ivoo wkt wengne ndo tulitoka ukohamo rapa ha ha
Ndo upinge kila kitu. Basi hata ukiambiwa 1+1=2 pia utapinga.Haiwezekami kusema eti hawezi kuimprove wakati kuna vitu alikuwa anavielewa wakayi wa mahojiano
na yeye anapenda kwuwa enjoyedJmn beby chagga wanamuenjoy ivoo wkt wengne ndo tulitoka uko
Ni Dada. Asante
Bidada alikuwa akimhoji jamaa anachomekea na manenoya kiingereza amabayomyalikuwa yakimpawakati mgumu kijana
Kaisha anza kupoteaHafiki kokote.
Pumzi imekataKiboko ya mabishoo
Huyu jamaa atawaumbua wengi wanaomdhihaki kwa sasa, naona anamaanisha haswa.Hana aibu na anapenda kujua kiingereza, na watu kama hawa huwa wanafika MBALI sana kwenye vitu ambavyo wanatamani kuvifikia. Atakuja kujua Kiingereza, mi nampongeza kwa KUJARIBU bila AIBU.