Harmorapa alivyoumbuliwa na Diva kwenye ala za roho

Lugha sio tatizo atajifunza na ataelewa, kwan ni wangapi walianza kama yy???
 
tuseme ukweli,Hamorapa is a big no. Hao Clouds wamemmaliza kabisa-yaani hiyo interview I could not believe my ears
 
Kufanya predictions ni mpaka uwe ivyo?
Ninavojuaa ni Mungu pekee ndo anayejuaa kesho ya mtu itakuwajee......au dk 5 zijazo kwenye maisha ya mtu itakuwajee.....kwa hiyo Epuka kuwa mtabiri wa kesho za watu hiyo itakusaidiaa One day
 
Ninavojuaa ni Mungu pekee ndo anayejuaa kesho ya mtu itakuwajee......au dk 5 zijazo kwenye maisha ya mtu itakuwajee.....kwa hiyo Epuka kuwa mtabiri wa kesho za watu hiyo itakusaidiaa One day
Ingekua watu hawawazii ya mbele kwanini mtu unaenda shule ili ije kukusaidia mbeleni. Kama umeajiriwa kwann unafanya kazi ili upokee mshahara mwsho wa mwezi ambao hujui hatima yake?
Haya nishasema hafiki kokote na ingekua hamna haja ya kutoa mchango wangu basi huu uzi usingekuwepo hapa.
 
Diva umetuletea mtu gani huyu kwenye ala za roho bana. Afadhali ungenialika mimi
 
Hahahaha diva ana tabia mbaya... Khaa cyo kwa mbwembwe hzo. Amemkomesha
 
kumleta ktk limelight Hamorapa,management yake imefanya kazi nzuri,hii interview wamekosea H kuongea na wanahabari ni bado sana-Nina doubt kama kafika form 4 kama alivyosema-he just cannot string a sentence be it in English or swahili
 
"Tulikuwa wathafi kabla ya Wcb"

Harmorapa-kiboko ya mabishoo
 
Mbona huyu presenter anafanya mambo ya ajabu hivi?????

anang'angania kufanya interview kwa kizungu na pia analazimisha jamaa kumchangia hela on air.........

Sijapenda
 
Kuna wasanii wengi I know em ambao walianza kama masiara ila wakaja kua headlines kwenye media mbali², e.g benpol wakati tupo azania pale no one thought angeweza kuja kuwa msanii hodari. Hata wimbo wake wa kwanza (shining star) ambao amechana (he waz a rapper befor) ilikua kama masiara tu. So never underestimate a person kwa maana hujui mtu atafika wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…