Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu umemshika miguu?Hafiki kokote.
Mwenzetu ushakuwa Mungu nowdays......Hafiki kokote.
Kufanya predictions ni mpaka uwe ivyo?Mwenzetu ushakuwa Mungu nowdays......
Ninavojuaa ni Mungu pekee ndo anayejuaa kesho ya mtu itakuwajee......au dk 5 zijazo kwenye maisha ya mtu itakuwajee.....kwa hiyo Epuka kuwa mtabiri wa kesho za watu hiyo itakusaidiaa One dayKufanya predictions ni mpaka uwe ivyo?
Ingekua watu hawawazii ya mbele kwanini mtu unaenda shule ili ije kukusaidia mbeleni. Kama umeajiriwa kwann unafanya kazi ili upokee mshahara mwsho wa mwezi ambao hujui hatima yake?Ninavojuaa ni Mungu pekee ndo anayejuaa kesho ya mtu itakuwajee......au dk 5 zijazo kwenye maisha ya mtu itakuwajee.....kwa hiyo Epuka kuwa mtabiri wa kesho za watu hiyo itakusaidiaa One day
kumleta ktk limelight Hamorapa,management yake imefanya kazi nzuri,hii interview wamekosea H kuongea na wanahabari ni bado sana-Nina doubt kama kafika form 4 kama alivyosema-he just cannot string a sentence be it in English or swahiliIngekua watu hawawazii ya mbele kwanini mtu unaenda shule ili ije kukusaidia mbeleni. Kama umeajiriwa kwann unafanya kazi ili upokee mshahara mwsho wa mwezi ambao hujui hatima yake?
Haya nishasema hafiki kokote na ingekua hamna haja ya kutoa mchango wangu basi huu uzi usingekuwepo hapa.