Harmorapa alivyoumbuliwa na Diva kwenye ala za roho

Harmorapa alivyoumbuliwa na Diva kwenye ala za roho

Haaahahaahaa.... Hamorapa you
Are quite an arse
 
Hawa clouds wangese Sana kwani English ndio lugha ya taifa,acheni ujinga wa kubana pua wakati English zenu nyie mbovu
 
na wauliza maswali ni wanafiki sana na ndio shida ya watanzania wengi hujalibu kutumia nafasi ya kutojua kukudhalilisha sasa wanajua fika hajui kingereza wanamuuliza maswali ya kungereza maana yake nini binafsi nimewadharau sana wauliza maswali kuliko hamorapa
 
Huyo Diva,anajua kabisa Harmo hajui kiingereza na amekiri kabisa kua hajui,lakini bado anang'ang'ania kuzungumza kiingereza,hawa baadhi ya watangazaji hawako competent kwenye communication skills.
 

Baada ya kujiita super woman leo kaja na well perfect structured English.
Hongera sana harmorapa tunakutazama
 
Me naona hapo diva ndo kachemka, tena alichofanya wala sio sawa kabisa au kisa ni harmorapa ndo ameona ni sawa angekuwa msanii mwingine mkubwa angefanya hivyo.
 
Back
Top Bottom