Harmorapa apata shavu tena, awa balozi

Hivi ananyimbo zipi nizitafte baadae niskilize
Aisee. Huyu dogo jina kubwa kutokana na matukio yake kuliko Mziki wake. Mi naijua moja tu, kaimba na Nature lkn sijui hata jina la nyimbo!
 
Aisee. Huyu dogo jina kubwa kutokana na matukio yake kuliko Mziki wake. Mi naijua moja tu, kaimba na Nature lkn sijui hata jina la nyimbo!
Hahaaaaaa ni shida kwa kweli
 
[HASHTAG]#HarmoRapa4MtvAward2017[/HASHTAG].
 
Huyu dogo tumkaribishe wasafi tu sassa.... Duhh...
 
Naona majani anatumia nguvu zoote kumbust huyu dogo! Sio mbaya soon bongo records itaanza sikika tena
 
Sasa kwenye hiyo picha hapo balozi ni yupi? usikute ndio huyo aliyekaa kinyonge kuliko wenzake.
 
Huyu Kijana ana akili mno kwenye kuteka akili za watu.
Anapenda mziki japo sijajua kama mziki pia unampenda ila kuna vitu kidogo anakosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…