Bhampupile
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 810
- 636
Haaaaa haaaa,, Mbona alimtosa akaanza mbio akamwacha Pot wake Chombo kilipowekwa hadharani.Mmakonde mwenzie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaa haaaa,, Mbona alimtosa akaanza mbio akamwacha Pot wake Chombo kilipowekwa hadharani.Mmakonde mwenzie!
Inaitwa kiboko ya MabishooMaarufu afrika mashariki!!!!! Kaimba wimbo upi wa maana??? (Nimeuliza tu koz sijawahi sikia wimbo wowote kutoka kwake)
Alijitetea eti hajawahi kuona chombo hadharani kama vile!Haaaaa haaaa,, Mbona alimtosa akaanza mbio akamwacha Pot wake Chombo kilipowekwa hadharani.
Ha ha ha!!Anaapishwa lini?
I call him King kiki nigga.Msanii maarufu na machachari anayetikisa anga za Afrika Mashariki na Kati anayetabiriwa kupata tuzo nyingi mwaka huu kutokana na nyimbo zake kali kuwahi kutokea apa Tz na Afrika kwa ujumla amepata shavu la kuwa balozi na kampuni kubwa.
Ubalozi huo utamfanya kuwa maarufu dunian hasa kutokana kuwa na dola nyingi.
Hongera Harmorapa kiboko ya wachafu.
![]()
Hahahaaa ila huyu dogo watu wanamdharau ila mimi naona anamkimbiza m.mbwa kimya kimya ngoja tuoneMsanii maarufu na machachari anayetikisa anga za Afrika Mashariki na Kati anayetabiriwa kupata tuzo nyingi mwaka huu kutokana na nyimbo zake kali kuwahi kutokea apa Tz na Afrika kwa ujumla amepata shavu la kuwa balozi na kampuni kubwa.
Ubalozi huo utamfanya kuwa maarufu dunian hasa kutokana kuwa na dola nyingi.
Hongera Harmorapa kiboko ya wachafu.
![]()
Na jinsi wanavyokosoa umbaaji wake kwa kumsema ni mmbaya ndivyo Mungu anavyomwinuaMUNGU anainua watu kwa namna ya kipekee sana. Hongera Harmorapa
Timu dia utawajua tu sio kwa wivu huo.mnyonge mnyongeni haki yake mpeni chaaaKamekaa kwenye picha utafikiri kagonjwa
Kwa kweli dogo unaweza usimpende ,ila sio hatua ya kumchukia!Dahhh siamini kabisa kuwa Hamorapa anempita umaarufu hammonise kimchezo mchezo tu......Jamaa ana nyota kaliiii......na anajua kutafuta kiki balaaaa.Nilipomuona kwenye issue ya Nape ndio nilichoooka!!!!!!!!!!
acha kufananisha oscar na upumbavuuuu tena ukome......
Kabisa mkuu.MUNGU anainua watu kwa namna ya kipekee sana. Hongera Harmorapa