Kweli kabisa hutegemei utaneemishwa wapiMUNGU anainua watu kwa namna ya kipekee sana. Hongera Harmorapa
Binafsi hata Mondi alipokuwa anatoka nilidhani pumzi itakata mapema sana. Nahuyu nampa muda walau mwaka, maana nimejifunza kuna mambo mengine unajifunza ukiwa ndani ya mchezo.Huyu Kijana ana akili mno kwenye kuteka akili za watu.
Anapenda mziki japo sijajua kama mziki pia unampenda ila kuna vitu kidogo anakosa.
View attachment 487107
Ndo yuko njian kumwona Ney...
Ajue huko ni bunduki sio bastola tena. Ohoo. Asijesimamishiwa tuhuma safari hii
acha kufananisha oscar na upumbavuuuu tena ukome......[HASHTAG]#Harmorapa4BETawards2017[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Harmorapa4OSCARSawards[/HASHTAG]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kijana ana mbio halafu mwepesi kisha ana maamuzi ya haraka hongera zake.
Kuna wengi wanavipaji ila hawana uwezo wa kujitangaza. Kujitangaza ni kipaji kingine, akiweza kukaa kwenye headlines angalau mwaka mzima tu atawaacha wengi mbali maana muziki unaweza tungiwa, ukapata producer mzuri na wewe ukateleza tu
Inaonekana kama P Funk kashaiona hiyo fursa na kaiwahiKabisa
Hamorappa ni fursa kwa wanaoelewa.
Hongera zake kijana.
hahahaha kiboko ya kuvunja uwaaaDah si kwaajili ya mbio zile maana uyo chalii angetimba marathon tu
Mmakonde mwenzie!Sasa kule kwenye Pistol ya Nape alifuata nn kule?