Harmorapa apata shavu tena, awa balozi

I call him King kiki nigga.
 
Hahahaaa ila huyu dogo watu wanamdharau ila mimi naona anamkimbiza m.mbwa kimya kimya ngoja tuone
 
Dahhh siamini kabisa kuwa Hamorapa anempita umaarufu hammonise kimchezo mchezo tu......Jamaa ana nyota kaliiii......na anajua kutafuta kiki balaaaa.Nilipomuona kwenye issue ya Nape ndio nilichoooka!!!!!!!!!!
Kwa kweli dogo unaweza usimpende ,ila sio hatua ya kumchukia!

Siku ya nape nlcheka sana
Hamorapa kiboko ya maambiooo..
 
acha kufananisha oscar na upumbavuuuu tena ukome......

bando nimenunua mwenyewe, laini yangu,simu yangu usinipangie cha kupost sawa. Una uhuru wa kureply ila sio kwa kiasi hicho.
[HASHTAG]#Harmorapa4KORAmusicAWARDS[/HASHTAG]
 
MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo, ‘Hamorapa’ anatazamiwa kuwa balozi wa Kinywaji kiitwacho Swala.

Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu, Hamorapa amefunguka kuwa yupo katika mazungumzo na kampuni inayozalisha kinywaji hicho na anatarajia kupata dili nono ya kukitangaza kinywaji hicho.
 
Jamani nyuzi kama hizi muwe mnaziweka sehemu husika. Hili ni jukwaa la siasa. Watu wanachambua habari mbalimbali za kisiasa. Sasa huyu anatuhusu nini? Mods ondoeni uzi huu kama unaweza wapatie Facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…