Akili ndio kitu cha kwanza Kumtoa mtu, Nguvu huamrishwa na akili, Akili ikilala utahenya sana mana nguvu nyingi utatumiakweli maisha hayahitaji nguvu nyingiii
Huyu mtu atakwenda kwa mwendo huu huu, amepata meneja mwenye akili sana, anapambana sana kumtangaza na ameweza, kinachotakiwa kwake ni kuimba vizur na kutoa video bora, itafika wakat watu watamuelewa tu,jamaa anamaanisha huyu.Nimejaribu kumfatilia kwenye mitandao humu watu wanamchukulia powa ila ukweli kwa sasa inaonesha hana masikhara ni suala la muda tu, mi naipongeza menejiment yake, hana muda tangu aanze "Hekaya" zake leo yupo MTV......Kuna wasanii wengi tu hawajawah sikika wala kuonekana hukomjini kiki tu hahaaaaaa
Huo ni UjingaKuna watu wanakereka san kuona dogo kila siku yeye kweny vyombo vya habar
Acha kumfananisha nyandu na vitu vya kijingaAkina nyandu tozi, timbulo, linex, malaika, bekA, pnc, na wengine type hizo wakalale dogo anakimbiza mbaya
Wasisahau kuja kutuomba msamaha. Huu utani umezidi sasa.Fake News
Duu!Ukweli ni Kwamba Harmorapa ni mkali kuliko Nas Escobar na pia ana pesa nyingi kumshinda Jay Z
Naskia ataachia albums kumi kwa mpigo hivo kuweni na subiraTupia wimbo wake huyu jamaa daily naona habari zake....kulikoni maneno tu nyimbo hamuweki[emoji290] [emoji664]
Sana.mjini kiki tu hahaaaaaa
Akili kidogo tu mkuukweli maisha hayahitaji nguvu nyingiii
Shangaaaa [emoji14] [emoji14] [emoji14]Kumbe MTV Base East ipo South Africa!!!