Harmorapa awashtua MTV base ya south Africa

Harmorapa awashtua MTV base ya south Africa

mjini kiki tu hahaaaaaa
Huyu mtu atakwenda kwa mwendo huu huu, amepata meneja mwenye akili sana, anapambana sana kumtangaza na ameweza, kinachotakiwa kwake ni kuimba vizur na kutoa video bora, itafika wakat watu watamuelewa tu,jamaa anamaanisha huyu.Nimejaribu kumfatilia kwenye mitandao humu watu wanamchukulia powa ila ukweli kwa sasa inaonesha hana masikhara ni suala la muda tu, mi naipongeza menejiment yake, hana muda tangu aanze "Hekaya" zake leo yupo MTV......Kuna wasanii wengi tu hawajawah sikika wala kuonekana huko
 
Mwambien atuonyeshe vyeti [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Mziki ujanja ujanja tuu..


Dogo ana janja kama za Dai
 
Kiukweli unapopata fursa uitumie inavyowezekana safi harmo.
 
Back
Top Bottom