Harmorapa awatambia Mose Iyobo na Harmonize kuwa hawana hela ya kumzidi

Subiri adakwe kwenye tukio kama petit...
Atasema hizo kazitoa wapi na ajawahi sikika na hit song hata moko!! Ndio atajua kwamba uncle magu ni mwalimu wa namba za kirusi!
 
hamorapaaaa doh kananifurahishaga kwakweli, sio kwa kiki hizi, naona anazifanyia maombi.
 
Acheni madongo huo ni wivu tu harmorapa ana pesa sema tu hamjui iyobo mwenyew ana jitamba wakat ni mweus tii sema tu kuwakatia mauno WCB ndo kunamfany apakae mikoroho amana kitu pale mwachen harmorapa wawatu jesh la MTU mmoja
 
Jamaa wa Madale roho zinawauma kweli kweli.

Mwanzo alivyojiita Harmo Rapper mlifurahia mpaka Harmonise akam-post Instagram kwa furaha sasa ameanza kutengeneza njia zake mnamuita Sokwe mara anatafuta Kiki kwa mgongo wa WCB.

Ebooo tulieni dawa iwaingie mmemchokoza wenyewe
 
Bana ehh. Acheni swaga za ajabu. Kama kijana yupo poa na anaweza kunyenyua social media . poa sana ni mda wake.
 
Na Leo kapewa Mulano Na Meneja wake, Dadadeki..... Mbona watambeba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…