Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dogo nae "anauza sembe"..?Makonda kamsahau huyu kwenye list yake
Mbona anaomba watu kumsapoti, au anahis tunasahau mapema kias hicho? Niliona interviw yake kwenye EAtv. Cjui kipind gan vile
katoa wapi?
Aisee ndo mana akampora mtu demu mkaree?huyu dogo anazo fedha tokea kitambo sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]dogo nae "anauza sembe"..?
Hata na hivyo Hamorapa sijui kama akili yake iko vzuri kwa kiwango gan, japo kajitahid kuchana kwnye nyimbo yakemkuu si unajua utani wa hapa na pale
huwa ananikera sanaHili dogo ni tafuta kiki tu!! Afu ana wimbo gani? WCB potezea hii dogo
Hivi kazi aliyoifanya ni ipihuwa ananikera sana
Anakukera unamjua huyo ww ata WCB hawakufahamhuwa ananikera sana