Tena pulling mende double lalapesa za madafu bhana! ukiziunganisha zoooote hapo unapata vibunda viwili tu vya dola! sijui maywether angekuwa mbongo angekuwa anatembea nazo kwenye scania mbili za pulling!
Angekuwa na kikundi chake cha wababe kama yule bondia mwingine (RIP)pesa za madafu bhana! ukiziunganisha zoooote hapo unapata vibunda viwili tu vya dola! sijui maywether angekuwa mbongo angekuwa anatembea nazo kwenye scania mbili za pulling!
Si ndo hapo!!! watu hua hawawajui wanamuziki na wasanii wa kibongo kwa kutafuta kick..hua wanaishi maisha ya kuigiza ili waandikwe au pia wakimbiliwe na wazee wenye pesa au mashugamamiKwa biashara ipi?
Sio kuuza tu, anabwia na sometimes anagawa buuure.dogo nae "anauza sembe"..?
Acha majungu mwanaume mmbeya kama nn unamjua harmorapa ww au unaona tu sura iyobo anaish WCB kukata mauno ndo mkono uende kinywan hammsemMa-Star wa kibongo wana tabu sana aisee'hahahah,yaani huyo kavizia mtu ana mill zake 17 ten ten changanya na buku tano tano anataka kuzipekeka bank kaona aombe kupiga nazo picture ili apost mitandaoni ukimsachi mfukoni laki hana,yeye hapo anaona kama kashika $100,000/=.wanashindwa kuishi maisha yao ndo maana wakichoka wanawapigia magoti wanaume wenzao kama alivyofanya yule mwenzao sijui nani kumpigia magoti ustadh juma na musoma.
kama alivyofanya yule mwenzao sijui nani kumpigia magoti ustadh juma na musoma.
Sawa mkuu asante..ila mie simchukii huyo kijana wala sio team mnazoita wachafu sijui wasafi ila nilichojaribu kufanya ni kupingana na huyu bwana mdogo kupiga picha huku kakumbatia madafu,hela zenyewe sio hela anajipaisha nazo mitandaoni anajichoresha...kama upo nae karibu mshauri aache ajifunze kwa kaka zake Forooz na Mr Nice usanii wa ku-act ni m'baya hata ukiwa huna utataka uonekane unazo mwisho unakuwaga sio mzuri siku zote.Acha majungu mwanaume mmbeya kama nn unamjua harmorapa ww au unaona tu sura iyobo anaish WCB kukata mauno ndo mkono uende kinywan hammsem
Kaka achana nao na yeye anatafuta stail ya kuchomoka nayo saiz mzik mgum ko anatafuta njia achana naye wala usimponde mana ndo maisha yalivo tunafanikiwa kwa kubebanaSawa mkuu asante..ila mie simchukii huyo kijana wala sio team mnazoita wachafu sijui wasafi ila nilichojaribu kufanya ni kupingana na huyu bwana mdogo kupiga picha huku kakumbatia madafu,hela zenyewe sio hela anajipaisha nazo mitandaoni anajichoresha...kama upo nae karibu mshauri aache ajifunze kwa kaka zake Forooz na Mr Nice usanii wa ku-act ni m'baya hata ukiwa huna utataka uonekane unazo mwisho unakuwaga sio mzuri siku zote.
Hata na hivyo Hamorapa sijui kama akili yake iko vzuri kwa kiwango gan, japo kajitahid kuchana kwnye nyimbo yake
Katoa wapi? Kwani pesa hua zinatoka wap?katoa wapi?
Wewe mleta Uzi ndo uwajibike kujibuhilo swali labda umuulize harmorapa mwenyewe ndiye mwenye majibu sahihi