Harmorapa Fans' Special Thread...

Tanzania nchi yanguuuuuu..Umepata balaa lakuwa na vichaa kama hawaaa
 
mbwa mkubwa unakomoa vitu ambavyo ni elastic in nature
 
Chance hairudi mara mbili. Watu wakimzoea ndo atakuwa amekwisha, mwisho wake. Mi naona viongozi wake bado wanamtafutia upromo zaidi.
 
Ama baada ya salam mm niko poa.Nimekua mara kadhaa naperuz kurasa za jf hasa pale ninapokua nimepunzika

Ila kwa takriban miezi mitatu humu jamvini kumekua na post nyingi zikimhusu jamaa mmoja anajiita harmorapa, binafsi sina shida naye ila kile kinachopostiwa juu yake mara nyingi ni upuuzi mtupu
Na bila shaka amemwaga masela wake humu waanzishe nyuzi za kumpa kiki mana kila ukiruka habari nne ya tano ni ya kwake

Kwa upande wangu hiz kiki za kijinga za mchiz ni kero.........kama na ww znakukera usisite kugonga like!!
 
Hamorapa sasa iv ni kama maji usipoyaoga utayanywa tu... We mwenyewe mpaka kuanzisha uzi nadhan umeanza kumjua hata kabla yetu""" kitu kikija kimekuja kukizuia ni ngumu
 
Kuna kitu kinafanyika kwa kumtumia huyu jamaa, ukiangalia kwa picha tu hafananii kabisa maisha hayo... Ona jeans aliyovaa
Kuna Mtu/kikundi wanamtumia huyu bwana kama 'decoy'......ili awe anazungumziwa kuliko/kuziba nafasi ya Mwingine wanaompinga wao.

Ndio maana hata haihitaji degree kuona hivi move anazofanya zinahitaji nguvu/ushawishi mkubwa kufanikisha ukilinganisha na nafasi au uwezo wake.

Kukutana na kina P funky, Gigy kwa mtonyo/ushawishi gani? ni mpango unaoratibiwa kwa malengo maalum.
 
sifa za kijinga, aki athirika aanze kusumbua watu michango ya kumrestisha in peace!
 
kwa hiyo kuonana na gigy kuna hitaji mtonyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…