Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Muda wote waliokuwa na wolper hakumuomba amfundishe kama wengine walivyofundishwa!!!!?
 
harmolapa jinsi anavyopenda kiki na kuongelewa... si ajabu amejikosesha makusudi ili tumuongelee..

maana tunavyomjadili humu yeye anaona raha sana na amani tele
 
Ahhhh,atakuwa hana rinda au shabiki wa Ritha Paulsen Show au wanawake live
 
harmolapa jinsi anavyopenda kiki na kuongelewa... si ajabu amejikosesha makusudi ili tumuongelee..

maana tunavyomjadili humu yeye anaona raha sana na amani tele
Inawezekana
 
Mnamshangaa huyu? Wangapi mnaowaheshimu na kuwaona wasomi wanachemsha kienglish
Huyu yupo sahihi maana hajawahi jiita msomi,
Yupo sawa
 
HarmoRapper kakimbiza mabishoo wote mjini!
Kujiamini kumemkuza kijana!
Underground aliyepata umaarufu kwanza kabla kazi yake haijajulikana.
 
"Apetite" ya kufanya kazi? WTF!! Baada ya hapo itakuja "apetite" ya ku "put your money where your mouth is" aka "chop your money". How silly is that specially when you are broke and dumb as fcuk??
 
Back
Top Bottom