hahahah! nasikia ana bullet proof kutokana na ameshakuwa celebrity mkubwa kwaiyo akosi maaduiLabda alikuwa anaona bastola mbele yake...
Hahaa mkuu 'nyani haoni kundule...Mimi hiyo facial expression yako sielewi umeshikwa wapi
iyo yangu kuielewa yangu inahitaji cozi mkuu!Mimi hiyo facial expression yako sielewi umeshikwa wapi
hahahah!Ni kama ana puliza moto!
Hataki kulia wala kushoto.Jamaa yuko vzur mbona!frankly speaking, sijaelewa iyo facial expression ya mchizi, kama anataka kulia hivi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na alivyolishika hilo gazeti sidhani kama hata bei ya gazeti anaijua.frankly speaking, sijaelewa iyo facial expression ya mchizi, kama anataka kulia hivi!
Hapana ni kiboko ya wanariadha.Kiboko ya Mabishoo...
Ule mwendelezo wa kuendelea kuzichanga karata zake vyema (wengine wanaita kutafuta kiki), safari hii atembelea ofisi za HabariLeo na Daily News katika kile kinachoitwa kuvitembelea vyombo vya habari...
Usiyemtaka kaja hahaaaahuyu jamaa atakuwa ni mganga wa kienyeji
Hater, go to hellfrankly speaking, sijaelewa iyo facial expression ya mchizi, kama anataka kulia hivi!
[emoji28] [emoji28] huyu dogo mwangahuyu jamaa atakuwa ni mganga wa kienyeji
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ule mwendelezo wa kuendelea kuzichanga karata zake vyema (wengine wanaita kutafuta kiki), safari hii atembelea ofisi za HabariLeo na Daily News katika kile kinachoitwa kuvitembelea vyombo vya habari...