Harmorapa Fans' Special Thread...


Ule mwendelezo wa kuendelea kuzichanga karata zake vyema (wengine wanaita kutafuta kiki), safari hii atembelea ofisi za HabariLeo na Daily News katika kile kinachoitwa kuvitembelea vyombo vya habari...
wenyewe wasanii "wanaitanga" media tour.
 
kijana anafurahisha sana kwa harakati zake kama utani hadi babu kaniuliza kuhusu yeye
 
Babu wa loliondo alianza kimzahaha mzaha hivi hivi akala hela za watu.
 
frankly speaking, sijaelewa iyo facial expression ya mchizi, kama anataka kulia hivi!
We kalia kutoa sharubu huo msura wake ndiyo kik yake[emoji41] [emoji41]
Mwanaume asifiwi sura, mwanaume anasifiwa kazi.
 
Dogo usiogope piga kazi hata mbuyu ulianza kama mchicha. Kutengeneza Brand ni Issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…