Harmorapa , Harmonize hajui kuimba anabebwa na media

Gym gani io ambayo upo kwenye io mashine na jeans tena umetepesha ivo...[emoji33]
 
Watu weng hamumpend harmonize nahisi kutokana na muonekano wake but sikiliza kwa makini nyimbo zake
hamonize anaimba kuliko rayvanny...
rayvanny habadiliki katika kila nyimbo, anachosha....
KIJUSO, KWETU & NATAFUTA KIKI,
melody zinafanana fanana...
ana kipaji lakini ana mapungufu fulani katika uimbaji japo sauti anayo anakosa ubunifu wa sauti!!

hamonize japo wanasema anamuiga mond lakini yuko vizuri sana , yuko makini..
kuna tofauti kati ya AIYOLA, BADO na MATATIZO

hata mimi kabla nilidhani ray yuko vizuri ila kwasasa nasimama upande wa hamo, hamonize yuko vizuri
 
Uthigawe pathi mpendhi, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asiejua kuimba umeng'ang'ani Jina Lake, huyu hatafika kokote alipowekeza sio music anachotafuta kuwa super star, kwi kwi kwi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imenibidi nicheke tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…