Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ehe jamani mbona hvyohapana kiki ndiyo strategy yetu.
nimekutumia namba ya Harmarapa inbox kama ulivyoomba.
Ehe jamani mbona hvyo
We utakua mdogo wake bashite tunisamehe kwa kuvujisha siri.
We utakua mdogo wake bashite tu
em nielezee maana ya sapoti & upendoWe mwenyewe unamsapoti na unampenda ndio mana uko kwenye uzi wake,endelea kutililika bi dada
Kwahiyo we n pacha wakekwani huoni na mie naitwa Daudi.
Kwahiyo we n pacha wake
hamonize anaimba kuliko rayvanny...Watu weng hamumpend harmonize nahisi kutokana na muonekano wake but sikiliza kwa makini nyimbo zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndiyo ni twin wangu ndiyomaana navujisha siri zake kuwa alifoji cheti.
Imenibidi nicheke tu...Uthigawe pathi mpendhi, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asiejua kuimba umeng'ang'ani Jina Lake, huyu hatafika kokote alipowekeza sio music anachotafuta kuwa super star, kwi kwi kwi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanamuita nyaniJaman ni nani huyu kwani
Mmmmh maanaWanamuita nyani