pretypriceless
Member
- Dec 29, 2016
- 45
- 47
Mimi simpendiiiiii mpaka basi, hakuna alichofanya mpaka sasa... ustaa tu unamsumbua basi watu wamemuweka midomoni weee, so stupid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwenyewe unamsapoti na unampenda ndio mana uko kwenye uzi wake,endelea kutililika bi dadahivi huyu nae ni wakuja kumuanzishia thread?
nani anampa kiki huyu jamaa...
anaboa sana
Ahahahahahaaaaaaa umenichekesha sana mkuuWewe na nani hamumpendi?
Juzi tu umenifata inbox unaniomba namba ya simu ya Harmorapa.
We jamaa ana nyota kali yani kampiki msanii wa madam wema mirror.Mimi simpendiiiiii mpaka basi, hakuna alichofanya mpaka sasa... ustaa tu unamsumbua basi watu wamemuweka midomoni weee, so stupid
Upi huoWimbo wa Harmorapa naupenda japo hawezi mfikia Harmonize.
hahahha nilikumithi hapa....Hahaha sikujisikia kucomment ila imenibidi. Kwamba hawataki kupeana pathi!
Hahha, nipo nagawa pathi tuhahahha nilikumithi hapa....
Mshauri ssa dogo aache kikiMe naishi na manager wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] una makusudi wwDogo harmo rapper yuko vzuro nadhan kwa kuanzia mwaka huu tuzk za MTV atagombe na kina wiz kid
Mshauri ssa dogo aache kiki