basi anavoongea sasa !uuuwih!ana swag za kishambaaa!analazimisha ajulikane !yani yuuuuuuckMimi Sikapendi haka
Daah basi tu
Utakuwa nje ya bongofavor wewe humjui harmorapa!hivi ana wimbo gani huyu?
HAHAHAHAHHAHAHAH ETI MKALI WA SOCIAL MEDIA!'
anajikuta star mwenyewe!
Basi mlivo hamuaminiki, unaweza kuja sikia kuwa unaolewa nae!yani huyu!
Sio bure aisee, maana kila kukicha ana kituko kipyaKuna watu wanalipwa kumtangaza bila shaka. Sielewagi hata anachoimba!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu I can feel ambavyo unamchukiayani huyu!
Kweli "wbc" ata mimi siifahamu mkuu. Ni nini hiyo kituYuko poa acheni fitina wbc ndio nn?hivi wabongo mbona mnawivu wakike?? Huyu ni msanii Mdogo ndio ndoto yake tumuunge mkono ktk hili!
Sijui yukoojeyani huyu!
Upo mumy? Adimu kweliSio bure aisee, maana kila kukicha ana kituko kipya
Mmmhh! Wanawake tu ndio wenye wivu khaaa.Yuko poa acheni fitina wbc ndio nn?hivi wabongo mbona mnawivu wakike?? Huyu ni msanii Mdogo ndio ndoto yake tumuunge mkono ktk hili!
simchukii as a person![emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu I can feel ambavyo unamchukia
ahahahhahahahha yani!Sijui yukooje