Harmorapa; Juma Nature hajanifanyia poa

Harmorapa; Juma Nature hajanifanyia poa

MAN FONGO + DARRASA + HARMO RAPA =UPEPO
 
Bado kiki mja kubwa mukulu kumpgia simu harmorapa
 
Yuko poa acheni fitina wbc ndio nn?hivi wabongo mbona mnawivu wakike?? Huyu ni msanii Mdogo ndio ndoto yake tumuunge mkono ktk hili!
 
Kweli "wbc" ata mimi siifahamu mkuu. Ni nini hiyo kitu
 
Yuko poa acheni fitina wbc ndio nn?hivi wabongo mbona mnawivu wakike?? Huyu ni msanii Mdogo ndio ndoto yake tumuunge mkono ktk hili!
Mmmhh! Wanawake tu ndio wenye wivu khaaa.

Umeshawahi kuwaunga mkono wasanii wangapi au huyu ndio wa kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama kweli kayasema hayo atakuwa kakosea sana but naupenda sana wimbo wake
 
Back
Top Bottom