Harmorapa; Juma Nature hajanifanyia poa

hivi ana wimbo gani huyu?
HAHAHAHAHHAHAHAH ETI MKALI WA SOCIAL MEDIA!'
anajikuta star mwenyewe!
mkuu ulikua nje ya nchi nn??
maana tanzania hii tofauti na bashite mtu maarufu kwa mwezi mmoja uliopita ni HAMORAPA kiboko ya mabishoo
 
Kuna watu wanalipwa kumtangaza bila shaka. Sielewagi hata anachoimba!
Hamorapa kiboko ya mabishooo
Jiji linanuka kama vile choo. X3
Hujaelewa nini au kiswahili ni lugha yako ya pili baada ya kikolomije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…