snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
uuuuuuuuwih!Basi mlivo hamuaminiki, unaweza kuja sikia kuwa unaolewa nae!
mi naolewa na mtoto mdogo huyu namzaa huku nagombea mwendokasi ruti ya mbagala!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uuuuuuuuwih!Basi mlivo hamuaminiki, unaweza kuja sikia kuwa unaolewa nae!
ni nani?Utakuwa nje ya bongofavor wewe humjui harmorapa!
Darasa mtoe mkuu,darasa yupo vizuriMAN FONGO + DARRASA + HARMO RAPA =UPEPO
Haa. Haa. Haaa. Pole my.uuuuuuuuwih!
mi naolewa na mtoto mdogo huyu namzaa huku nagombea mwendokasi ruti ya mbagala!
mkuu ulikua nje ya nchi nn??hivi ana wimbo gani huyu?
HAHAHAHAHHAHAHAH ETI MKALI WA SOCIAL MEDIA!'
anajikuta star mwenyewe!
Hamorapa kiboko ya mabishoooKuna watu wanalipwa kumtangaza bila shaka. Sielewagi hata anachoimba!
Nazungumzia muziki!mkuu ulikua nje ya nchi nn??
maana tanzania hii tofauti na bashite mtu maarufu kwa mwezi mmoja uliopita ni HAMORAPA kiboko ya mabishoo
hahahahahha umewaza hiyo kuzaa huku nagombea mwendokasi!hahahahahhaha!Haa. Haa. Haaa. Pole my.
Ungenivunja mbavu na huku sijala!hahahahahha umewaza hiyo kuzaa huku nagombea mwendokasi!hahahahahhaha!
khaaa!utakuwa umecheka sana!
its okey mwaya!
hahhhaha mi mwenyewe niliposoma tena siiiina mbavu!Ungenivunja mbavu na huku sijala!
Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Noma sanahahhhaha mi mwenyewe niliposoma tena siiiina mbavu!
Tayari majani kamgeuka RapaHaha harmorapa sio wa kumuekea dhamana muda wowote anakugeuka.
Bado majani sasa