Mpaka jf!!! Kweli huu Mwaka wake..Huuu mwaka wake aisee hahaah
Nenda YouTube search usitoe pasiKaimba wimbo gani Jamani? Ebu wekeni ngoma yake hapa basi tuiskie
mshauri wake amwambie awe anatabasamu kidogo mbele ya kameraMalapa malapa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alipita akitokea wapi? Unajua uwanja wa ndege ulipo na barabara ya nairobi ilipo?Alipita hapo akielekea Nairobi hahahaah
Enzi za yule Majani mwenyewe takataka za namna hiyo zilikuwa zinaishia getini
Huyu ndugu harmorapa ni kijana au ni dizaini ya kina Bi cheka simuelewi elewi!Malapa malapa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
ukipita hapo huwezi fika nairobi barabara ya nairobi inapita ngaramtoniAlipita hapo akielekea Nairobi hahahaah