Harmorappa apata shavu

Harmorappa apata shavu

Kaimba wimbo gani Jamani? Ebu wekeni ngoma yake hapa basi tuiskie
 
Wacha maneno.......Weka muziiki...Big up sana Harmorapa, watakuelewa tu wanao kudis.Na wale wanenguaji watakuja kuomba kazi kwako.
 
  • Thanks
Reactions: TLE
Huyu ndiye aliyesema kama ni nyani basi wako wawili kwasababu anafananishwa na Harmoniza
 
Malapa malapa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
8dad1342d7a0dfcf7d4140530b97a673.jpg
mshauri wake amwambie awe anatabasamu kidogo mbele ya kamera
 
Daah. Ila Mungu nisamehe. Huyu jamaa ana sura mbaya sana
 
Nyani mweusi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nasikia wamempeleka saloon huyu ki-rapa, atakatishwe, wakatumia cosmetics zote zimegoma, sbb hatakati wakashauri labda watumie acid, ila itamnyofoa ngozi.. haaa
 
Back
Top Bottom