MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Bei ni kubwa sana hiyo kulingana na km ilizotembea
Unaponunua gari lililotumika kitu cha muhimu tazama hali nzima ya gari ikiwemo injini,ata huko Japan-Dubai wauzaji wa magari wanazichezea sana Odometer,ndio maana unakuta mtu kaagiza gari la mwaka 2002 linapigwa rangi vizuri na Km zinasoma 20,000!!! na anashangilia eti gari langu ni jipya kabisa jamaa wana tu 'enjoy' sanaa..Km uwa zinabadilishwa tu
Bei si mbaya ila napenda kujua kama ni 4 au 6 cylinder..aksante
Mbona rahisi ina tatizo gani