Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi dalali tu Mkuu na hizo namba ni zake kaniomba nimtangazie,Sio lazima ujimilikishe gari ya watu,
We sema inauzwa!
Madalali kiboko
Mkuu Ukwaju
Weka details zote basi
Odometer
YOM
etc
Extrovert anajua sana maswala ya magari. Wacha aje tumsikilize.
Kitu hicho, safii kimetuliaYOM 2015
ODO 23670
Kwa maana mwenye gari alilinunua likiwa 0 kms au sio?😂😂😂Gari ya kisasa Harrier New model inauzwa ni nzima kabisa.
Piga 0754-394195 chap uichukue bei 65m maelewano yapo,
Year of manufacture 2015
Odometer km 23670
View attachment 2383519View attachment 2383522View attachment 2383524View attachment 2383525View attachment 2383526View attachment 2383527
Nimeshawasili wanandugu, hio ni 3rd Generation ya Toyota Harrier. Sema imenipa wakati mgumu kuamini usajili wa gari wa 2015 inawezekanaje 7 years ahead gari iwe imetembea 20K+ kms?Extrovert anajua sana maswala ya magari. Wacha aje tumsikilize.
Sasa watz wengi ODO ikisoma 145K wanaona imechoka.. watafanyaje mzeeNimeshawasili wanandugu, hio ni 3rd Generation ya Toyota Harrier. Sema imenipa wakati mgumu kuamini usajili wa gari wa 2015 inawezekanaje 7 years ahead gari iwe imetembea 20K+ kms?
Kwa wastani oil change za gari kwa mwaka ni kati ya 5-8 times. Assume kila oil change ni baada ya 3000kms je kwa hizo mara ina maana kila mwaka gari itameza kati ya 15,000 hadi 24,000 kms. Kuna jambo haliko sawa
Kwahio bora udanganywe ina 24k odo kulko kuambiwa ukweli.Sasa watz wengi ODO ikisoma 145K wanaona imechoka.. watafanyaje mzee
.......
Nimesahau na namba D au E🤣🤣
Sasa watz wengi ODO ikisoma 145K wanaona imechoka.. watafanyaje mzee
.......
Nimesahau na namba D au E🤣🤣
Nimeshawasili wanandugu, hio ni 3rd Generation ya Toyota Harrier. Sema imenipa wakati mgumu kuamini usajili wa gari wa 2015 inawezekanaje 7 years ahead gari iwe imetembea 20K+ kms?
Kwa wastani oil change za gari kwa mwaka ni kati ya 5-8 times. Assume kila oil change ni baada ya 3000kms je kwa hizo mara ina maana kila mwaka gari itameza kati ya 15,000 hadi 24,000 kms. Kuna jambo haliko sawa
Humo humo yaniHivi DD... sio kuwa imesajiliwa 2014 hivi?
Baiskeli yako Umeshindwa Kuziba Pancha leo nawe kabisa unataka Kujitutumua kuonyesha kuwa unataka Kuinunua hii Gari? Yaani hapa JamiiForums kila Member ni Milionea tu na ana Maisha mazuri. Kazi Kweli Kweli.....!!!!!!Mkuu Ukwaju
Weka details zote basi
Odometer
YOM
etc
Mkuu ukwaju ile jukwaa yetu enzi ukituwekea picha sawa iko wapi?Mimi dalali tu Mkuu na hizo namba ni zake kaniomba nimtangazie,
Labda ningesema mwenye namba hizo anauza gari kapata safari za nje haraka blah blah na nauli ya ndege.
Wakati wa kujibu angalia masharti ya jukwaa Admini kasemaje? Namna ya kutangaza matangazo haya.
Baiskeli yako Umeshindwa Kuziba Pancha leo nawe kabisa unataka Kujitutumua kuonyesha kuwa unataka Kuinunua hii Gari? Yaani hapa JamiiForums kila Member ni Milionea tu na ana Maisha mazuri. Kazi Kweli Kweli.....!!!!!!